
YANGA V GEITA KUKIWASHA KWA MKAPA
UWANJA wa Mkapa leo Aprili 10 unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Kombe la Shirikisho kati ya Yanga dhidi ya Geita Gold. Huu ni mchezo wa hatua ya robo fainali na mshindi anatinga hatua ya nusu fainali ili kuweza kusaka timu itakayotinga hatua ya fainali. Bingwa mtetezi ni Simba akiwa naye yupo kwenye hatua ya robo fainali…