VIDEO:MASHINE NYINGINE ZA SIMBA KUIBUKIA MISRI

UPNGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa baada ya kufanya mazoezi kwa muda wa siku mbili wachezaji wengine ambao hawakujiunga na timu hiyo kambini nchini Misri wanatarajiwa kujiunga na timu hiyo. Wachezaji hao ni pamoja na Nassoro Kapama,Moses Phiri,Taddeo Lwanga na Peter Banda kwa mujibu wa Ahmed Ally,Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Simba.

Read More

NGAO YA JAMII KUPIGWA TANGA

RAIS wa Shirikisho la Mpirawa Miguu Tanzania, (TFF) Wallace Karia amesema shindano la Ngao ya Jamii ambalo linategemea kuhusisha timu 4 ambazo ni Simba, Yanga, Azam na Singida Fountain Gate litafanyika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Karia amesema: “Kwenye Ngao ya Jamii ambayo msimu huu zitachezwa mechi tatu, mbili za Nusu Fainali na moja ya Fainali,…

Read More

HALI NI NGUMU KWELIKWELI TIMU ZIPAMBANE

KAZI ni ngumu wa kweli kwa sasa kutokana na ligi kuwa karibu na mwisho huku kila timu ikizidi kupambana kusaka ushndi ndani ya dakika 90. Hakika mwendelezo wa baadhi ya timu kwenye uwanja sio mzuri kutokana na matokeo ambayo wanayapata kuwa hayana a furaha kwao. Licha ya hayo kutokea ni muhimu kuzidi kuwa na mipango…

Read More

NJOMBE MJI YAPOTEZA MBELE YA RHINO RANGERS

KLABU ya Njombe Mji leo Aprili 19 imepoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Rhino Rangers katika mchezo wa 8 bora. Mtupiaji Ibrahim Mdaki alitumia mtindo wa kupekecha kama Pape Sakho wa Simba kushangilia na kuimaliza mazima Njombe Mji. Katika mchezo mwingine wa kundi A ilishuhudiwa Alliance FC wakitoshana nguvu na Tunduru Korosho.  Baada ya…

Read More

YANGA:WACHEZAJI WAMEKUBALIANA KUFANYA KWELI KIMATAIFA

 UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa wachezaji wote wamekubaliana kufanya vizuri kwenye mechi za mtoano ili kufika mbali kimataifa. Yanga leo ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa mtoano dhidi ya Club Africains mchezo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.  Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa wachezaji wote wana morali kubwa kuelekea mechi…

Read More

WAWAKILISHI WA KIMATAIFA YANGA KUREJEA DAR

BAADA ya kupoteza mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Al Hilal, kikosi cha Yanga leo kimeanza safari ya kurejea Tanzania. Msafara huo ambao uliongozana na viongozi utapitia Addis Ababa Ethiopia. Bado Yanga inabaki kwenye anga za kimataifa kwa kuwa imeangukia kwenye Kombe la Shirikisho Afrka. Inafanya zibaki timu…

Read More

BEACH SOCCER YAPAMBA MOTO

MICHUANO ya Tanzania Football Federation Beach Soccer Super League, imeendelea kulindima jioni ya leo katika eneo la Coco Beach, Masaki jijini Dar es Salaam, ambapo Jumla ya timu Sita zimeshuka Dimbani. Mchezo wa kwanza ambao ulianza saa 9:00, ulikuwa ni Dhidi ya Savana Boys ya Yombo Makangarawe na PCM Sports Club ya Buza, mchezo ambao…

Read More

YANGA YATUPIA MABAO 2-0 MBELE YA TAIFA JANG’OMBE

KATIKA michezo wa kwanza leo Yanga wameweza kuibuka na ushindj wa mabao 2-0 mbele ya Taifa Jang’ombe. Mabao ya Yanga yametupiwa na Heritier Makambo dakika ya 32 na lile la pili limepachikwa na Dennis Nkane. Ni bao la kwanza kwa Nkane baada ya kuibuka hapo akitokea kikosi cha Biashara United na amefunga bao hilo dakika…

Read More

TATU BORA KIVUMBI, ZOTE ZASHINDA

LIGI Kuu Tanzania Bara ushindani wake unazidi kuwa mkubwa kila wakati huku tatu bora vita ikiwa ni kubwa Kwa kila timu. Azam FC walifunga Februari 16 ubao ulisoma Azam FC 2-1 Geita Gold mabao yalifungwa na Tariq Seif dakika ya 41, Gibril Sillah dakika ya 44 na makali ya Idd Suleiman Nado yalionekana dakika ya…

Read More

SIMBA NA YANGA ZASHINDANA KUCHANGA MKWANJA

WATANI wa jadi Yanga na Simba kupitia Azam TV wamefungua kampeni ya NANI ZAIDI ambayo itakuwa inawahusisha mashababiki wa timu hizo mbili ambao watakuwa wanashindana kuchangia pesa kwenye timu zao. Watachangia pesa hizo kupitia mitandao ya simu ikiwa ni Tigo, Airtel na Vodacom kisha baadaye mshindi atachaguliwa na kutangazwa. Mtendaji Mkuu wa Simba,(CEO), Barbra Gonzalez…

Read More

AZAM FC SIO KINYONGE UJUE

MATAJIRI wa Dar Azam FC sio kinyonge ndani ya Ligi Kuu Bara kutokana na kasi wanayokwenda nayo kwenye mechi za ushindani msimu wa 2023/24. Timu hiyo imekuwa kwenye ubora ndani ya uwanja kutokana na rekodi bora inazopata na mchezo wake uliopita ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Majaliwa ukisoma Namungo 0-2 Azam FC mabao yote yakifungwa…

Read More