
BEACH SOCCER YAPAMBA MOTO
MICHUANO ya Tanzania Football Federation Beach Soccer Super League, imeendelea kulindima jioni ya leo katika eneo la Coco Beach, Masaki jijini Dar es Salaam, ambapo Jumla ya timu Sita zimeshuka Dimbani. Mchezo wa kwanza ambao ulianza saa 9:00, ulikuwa ni Dhidi ya Savana Boys ya Yombo Makangarawe na PCM Sports Club ya Buza, mchezo ambao…