
ORLANDO SIO WATU WAZURI LAZIMA SIMBA IJIPANGE
TAYARI ile ngwe ya kwanza kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali kwa Simba imeshakamilisha na mpango kazi wa awali umeshakwisha. Mbele ya mashabiki wao wengi waliojitokeza 60,000, Simba ilifanikiwa kushinda bao 1-0 dhidi ya Kaizer Chiefs kwenye mchezo ambao ulikuwa unahitajika ushindi. Hapa ni dk 90 za mwanzo nyumbani na kuna dk nyingine za…