SIMBA KUTUA BONGO LEO WAKITOKEA AFRIKA KUSINI

BAADA ya kupoteza mbele ya Orlando Pirates wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho Afrika leo Aprili 25 wanarejea. Ni jana Aprili 24 ulipigwa mpira wa kazi na dk 45 Simba walikuwa imara katika eneo la ulinzi huku lile la ushambuliaji ikiwa ni hafifu kwa kuwa walikuwa wakitengeneza mashambulizi ya kushtukiza. Dakika ya 58 alipoonyeshwa…

Read More

PRICE DUBE NI WA MWISHO KUIFUNGA YANGA

NYOTA Prince Dube mshambuliaji wa mwisho kuifunga Yanga na ikayeyusha pointi tatu mazima kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ilikuwa Uwanja wa Mkapa,Aprili 25,2021. Leo Aprili 25, 2022 ni mwaka mmoja umemeguka tangu Dube kuitungua Yanga na msimu huu wa 2021/22 katupia bao 1. Kwenye ligi,Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Nasreddine Nabi imecheza jumla ya…

Read More

KIMATAIFA:ORLANDO 0-0 SIMBA

MCHEZO wa Kombe la Shirikisho kwa sasa hatua ya robo fainali ambapo wawakilishi wa Tanzania Simba wapo kazini ni mapumziko. Dakika 45 za mwanzo zimekamilika huku ubao ukisoma Orlando Pirates 0-0 Simba. Licha ya Simba kutokufungwa bado wapo kwenye ugumu mkubwa wa kushambuliwa kwa kasi na wapinzani wao. Chris Mugalu yupo kwenye ulinzi mkubwa na…

Read More

MABOSI HAWA WATAKA KUWA WAMILIKI WA CHELSEA

BINGWA wa Dunia mara 7 katika mashindano ya uendeshaji wa magari ya Langalanga maarufu kama Formula 1 Sir Lewis Hamilton pamoja na Bingwa namba moja katika mchezo wa tenesi kwa wanawake Serena Williams kwa pamoja wameweka kitita cha Paundi milioni 20 ili kuwa wamiliki wapya wa Klabu ya Chelsea. Wanamichezo hao maarufu wameingia ubia kwa…

Read More

SIMBA:TUTAJARIBU KUSHINDA LEO KIMATAIFA

PABLO Franco,Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa leo watajaribu kushinda mbele ya Orlando Pirates kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho. Saa 1:00 usiku, wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa ambao ni Simba wana kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Orlando Pirates. Huu ni mchezo wa hatua ya robo fainali ukiwa ni wa pili baada…

Read More

BEACH SOCCER LIGI KINAWAKA TENA LEO

LIGI ya Beach Soccer inayodhaminiwa na Global Radio na Global TV Online jana April 23 imeendelea katika Viwanja vya Coco Beach kulikuwa na michezo mitatu ya kundi A na leo tena inatarajiwa kuendelea. Mchezo wa kwanza ulikamilika na Savanah Boys iliibuka na ushindi wa mabao 6-4 Ilala FC. Mchezo wa pili Kundi A ulikuwa na…

Read More

KIUNGO WA KAZI YANGA AIPIGIA HESABU SIMBA

SALUM Abubakar Salum, ‘Sure Boy’ kiungo wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga ameweka wazi kwamba anaufikiria mchezo wao dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Aprili 30. Sure Boy aliweza kuwaka mbele ya waajiri zake wa zamani Azam FC kwenye mchezo wa ligi walipokutana Aprili 6,2022 wakati ubao wa Azam Complex uliposoma Azam…

Read More

YANGA V NAMUNGO,KAZI IPO LEO KWA MKAPA

KUMEKUCHA sasa leo ni Yanga v Namungo, Uwanja wa Mkapa ngoma inatarajiwa kupigwa ikiwa ni Aprili 23,2022. Kazi kubwa ni kwa vinara Yanga wenye pointi 51 watakapokuwa wakimenyana na Namungo FC iliyo na pointi 29 ndani ya ligi. Ugumu wao huwa unakuwa namna hii:- Wakali wa nyavu Kwa Yanga wao wanaye mzee wa kutetema, Fiston…

Read More

SIKU YA 62 BILA KUFUNGWA KWA LUSAJO

NYOTA wa Namungo, Relliats Lusajo leo anafikisha siku ya 62 bila kufunga bao ndani ya mechi za Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22. Nyota huyo mzawa alianza kwa kasi matata na aliweza kuwa namba moja kwa muda kwa watupiaji wa ligi alipofikisha mabao 10 kibindoni. Mara ya mwisho Lusajo kufunga ilikuwa ni Februari 21,2022…

Read More

JULIO:MAYELE NI POMBE,ATATUFUNGAJE SASA AKISHALEWA

IKIWA leo wanatarajiwa kukutana Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga v Namungo, Kocha Msaidizi wa Namungo, Jamhuri Kihwelo,’Julio’ amesema watapambana kufanya vizuri. Julio amebaainisha kwamba haoni sababu ya kuhofia mchezaji mmoja ama timu kiujumla kwa kuwa wamejipanga kufunga na kupata pointi tatu. Amemtaja Mayele kwamba hawezi kuwafunga leo kutokana…

Read More