
MBADALA WA KANOUTE NA ONYANGO NI HAWA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ni Sadio Kanoute na Joash Onyango hawa wataukosa mchezo wa leo dhidi ya Orlando Pirates,Uwanja wa Mkapa. Ahmed Ally Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa wanaamini wachezaji hao ni muhimu lakini hakuna namna watawakosa ila wapo wachezaji wengine watakaocheza. “Tutamkosa Sadio kwa kuwa huyu ana…