
SITA KUSHIRIKI MASHINDANO YA WIKI YA MACHINGA
TIMU sita zitashiriki katika mechi maalumu za kuadhimisha Wiki ya Wamachinga zitakazochezwa kwenye Uwanja wa Karume. Meneja wa Machinga wa Soko la Machinga Complex,Karume,Stellah Othman Mgumia alizitaja timu hizo. Mamlaka ya Mapato Tanzania,(TRA),Pepsi,Shirika la Bima la Taifa,(NIC),Mmalaka ya Chakula na Dawa, (TMDA) na Timu ya Waandishi wa Habari za Michezo,(Taswa). “Ni maandimisho ya kwanza ya…