
KMC KAMILI KUIKABILI KAGERA SUGAR
UOGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa upo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho Machi 9,2023 Uwanja wa Uhuru. Ni mchezo wa mzunguko wa pili kwa wababe hao kumenyana uwanjani kusaka pointi tatu muhimu. Rekodi mbaya kwa timu zote mbili zimetoka kufungashiwa virago kwenye Azam Sports…