
SIMBA BADO HAWAIFIKIRII MECHI YAO DHIDI YA YANGA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa sasa bado haufikirii mchezo wao dhidi ya Yanga kwa kuwa wametoka kucheza mechi kubwa ya hatua ya robo fainali dhidi ya Orlando Pirates. Aprili 24 Uwanja wa Orlando, ubao ulisoma Orlando Pirates 1-0 Simba ikiwa ni mchezo wa hatua ya robo fainali ya pili na kufanya wawe wamefungana bao…