
MANULA ATUMA UJUMBE YANGA
AISHI Manula, kipa namba moja wa Simba amesema maandalizi ambayo watayafanya kwa ajili ya mchezo wao wa ligi dhidi ya Yanga utwapa matokeo chanya. Manula kwenye ligi amekaa langoni katika mechi 16 akiwa ameyeyusha dk 1,440 na ni mabao 7 kafungwa, hajafungwa kwenye mechi 9. Msimu huu Manula kafungwa bao moja kwa mfungaji kuwa nje…