SHIZA KICHUYA KAWATUNGUA MAKIPA WATATU KWA MGUU WA KUSHOTO

  MOJA ya mabao bora ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22 hata ukitaja mawili,huwezi liweka kando alilofunga mzawa Shiza Kichuya anayekipiga Namungo mbele ya Yanga.

  Ni bao lenye majabu kati yale matatu aliyonayo aliweza kumtungua Diarra Djigui kwa mguu wa kushoto akiwa nje ya 18,Uwanja wa Mkapa.

  Tupo naye leo kwenye data kucheki namna mguu wake ulivyo na nguvu awapo uwanjani:-

  Mabao 3

  Kichuya ameanza kikosi cha kwanza mechi 14

  Hizi alianza kikosi cha kwanza

  Mzunguko wa kwanza

  Geita Gold

  Kagera Sugar

  Azam FC

  KMC

  Simba

  Yanga

  Prisons

  Mbeya Kwanza

  Coastal Union

  Mzunguko wa pili

  Geita Gold

  Dodoma Jiji

  KMC

  Ruvu Shooting

  Yanga

  Asisti 1

  Mguu wa kushoto 1 akiwa nje ya 18

  Mabao

  Katupia akiwa ndani ya 18 mabao 2

  Nje ya 18 katupia bao 1

  Mguu wa kushoto katupia mabao 3

  Timu alizozifunga

  Geita Gold

  KMC

  Yanga

  Previous articleAIR MANULA:TUMEJISKIA VIBAYA KUTOLEWA KIMATAIFA
  Next articleKOCHA SIMBA AFANYA KIKAO NA WACHEZAJI WOTE KISA YANGA