
MITAMBO YA KAZI YA YANGA V SIMBA KUELEKEA APRILI 30 KWA MKAPA
MAKOCHA wa Simba na Yanga, kwa sasa wanapigia hesabu mechi zilizopo mbele yao, huku jicho zaidi likitupiwa Aprili 30, mwaka huu kwenye Kariakoo Dabi. Ni takribani siku 8 zimebaki kabla ya mchezo huo wa Ligi Kuu Bara kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Dar. Hapa Spoti Xtra linakuletea baadhi ya nyota wa kazi katika kikosi cha Yanga…