
MPOLE KAFIKISHA MABAO 15 BONGO
STAA wa Geita Gold, mzawa George Mpole kafikisha jumla ya mabao 15 ndani ya ligi akiwa ni namba moja kwa utupiaji kwa sasa. Bao la 15 alifunga mbele ya Dodoma Jiji ilikuwa dk ya 77 wakati timu hiyo iliposhinda mabao 2-0 Uwanja wa Nyankumbu jana. Anayefuata kwenye suala la utupiaji ndani ya ligi ni Fiston…