
PRINCE DUBE KUIKOSA RUVU SHOOTING
MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Prince Dube anatarajiwa kuukosa mchezo wa leo kati ya Ruvu Shooting v Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mabatini,Pwani. Dube ambaye msimu uliopita wa 2020/21 alikuwa kwenye ubora mkubwa aliweza kutupia mabao 14 msimu huu ameweza kutupia bao moja na pasi moja ya bao. Kwa mujibu wa Kocha Mkuu wa Azam…