
KAKOLANYA KUPEWA MAJUKUMU YA MANULA
IMEELEZWA kuwa kipa namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya ameandaliwa kubeba mikoba ya Aishi Manula kwenye mchezo wa leo hatua ya nusu fainali. Simba ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Yanga kwenye mchezo ambao unaotarajiwa kuchezwa leo Uwanja wa CCM Kirumba. Taarifa zimeeleza kuwa Manula yeye alipata maumivu kwenye mchezo dhidi ya Geita Gold…