
RATIBA YA LIGI KUU BARA HII HAPA
LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea leo ambapo kuna mechi zitaendelea kwa mzunguko wa pili kwa kila timu kusaka pointi tatu muhimu. Geita Gold itakuwa na kazi ya kumenyana na Kagera Sugar, Uwanja wa Nyankumbu saa 8:00. Mtibwa Sugar itakuwa na kazi dhidi ya Mbeya City,Uwanja wa Manungu saa 10:00 jioni. Azam FC v KMC…