
MKALI WA PASI NDANI YA SIMBA KUTIMKIA AFRIKA KUSINI
IMEELEZWA kuwa kiungo namba moja kwa kutengeneza pasi za mwisho ndani ya Simba msimu wa 2021/22 Rally Bwalya yupo kwenye hesabu za timu moja ya Afrika Kusini. Inatajwa kwamba ni Klabu ya Amazulu ya Afrika Kusini inahitaji saini ya raia huyo wa Zambia kwa ajili ya msimu ujao. Ikumbukwe kwamba kiungo huyo aliibuka ndani ya…