
FARID MUSSA AONGEZA DILI JIPYA YANGA
FARID Mussa kiungo wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga ameweza kuongeza kandarasi mpya kuendelea kuitumikia timu hiyo. Leo Juni 13,2022 Yanga wameachia picha ya nyota huyo akiwa na Injinia Hersi Said na kusindikiza na maneno haya:”Kiraka Farid Mussa bado yupoyupo sana,”. Kiraka huyo bado yupoyupo ndani ya Yanga baada ya kuongeza dili jingine la…