
MUZIKI WA SIMBA MPYA USIPIME *MO DEWJI HATAKI MASIHARA, HESHIMA ITARUDI MSIMU UJAO
SIMBA mpya mbona mtapigwa sana! Hiyo ni baada ya Simba kuweka wazi kuwa watafanya usajili ambao utawafanya msimu ujao kufanya vyema mara baada ya msimu huu kuwa mbaya kwao. Rais wa Heshima, Mohamed Dewji ‘Mo’, ameshashauri kuwa timu hiyo inatakiwa ifumuliwe, na yupo tayari kumwaga pesa za usajili. Tayari Simba imeshamnasa mshambuliaji hatari, Moses Phiri…