
SOPU APIGIWA HESABU NA VIGOGO VITATU
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Simba wapo kwenye hesabu za kuiwania saini ya kiungo mshambuliaji wa Coastal Union,Abdul Suleiman,’Sopu’. Sopu amekuwa kwenye ubora wake msimu huu ambapo anaongoza kwa utupiaji wa mabao akiwa nayo 7 kwenye ligi. Ikumbukwe kwamba kiungo huyo amecheza Simba kisha akaibukia Ndanda kwa mkopo na akaibuka ndani ya Coastal Union inayonolewa na…