
AZAM FC WATASAJILI NAMNA HII
KATIKA kuhakikisha wanakuwa na kikosi imara kuelekea msimu ujao wa 2022/23, uongozi wa Azam FC umejipanga kufanya maboresho makubwa kwenye kikosi chao ili wajiweke kwenye nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa baada ya kuukosa msimu huu. Azam FC imekuwa na mwenendo wa kupanda na kushuka kwenye Ligi Kuu Bara huku pia kikosi hicho kikitupwa nje kwenye…