
SIMBA YAPATA TUZO,YAWAPOTEZA YANGA
LEO Juni13,2022 Klabu ya Simba imeweza kupewa tuzo yake baada ya kuwapoteza wapinzani wao wa jadi Yanga kwenye mchakato wa kura. Ni Tuzo ya Klabu Bora kwenye Mitandao ya Kijamii Tanzania ambayo imetolewa na kampuni ya Serengeti Bytes. Mbali na watani zao wa jadi Yanga pia Simba imeweza kuwashinda kwa kura Azam FC, Mbeya City, Ruvu…