
MPANGO WA BIASHARA WAKWAMA KAITABA
MPANGO wa Biashara United kusepa na pointi tatu mbele ya Kagera Sugar ulikwama baada ya kushindwa kushinda. Huo ulikuwa ni mchezo wa kwanza wa Kocha Mkuu, Khald Adam ambaye alichukua mikoba ya Vivier Bahati ambaye alifutwa kazi kutokana na mwendo mbaya wa timu hiyo kwenye mechi 6 mfululizo. Kagera Sugar nao wakiwa Uwanja wa Kaitaba…