
SAUTI:GEORGE MPOLE NDO BASI TENA
MFUNGAJI bora wa msimu wa 2021/22 mzawa George Mpole kwa msimu wa 2022/23 huenda akabaki ndani ya Geita Gold baada ya mpango wa kujiunga na vigogo wa Dar,Yanga,Simba na Azam FC kugota ukingoni
MFUNGAJI bora wa msimu wa 2021/22 mzawa George Mpole kwa msimu wa 2022/23 huenda akabaki ndani ya Geita Gold baada ya mpango wa kujiunga na vigogo wa Dar,Yanga,Simba na Azam FC kugota ukingoni
YASSIN Mustapha leo Julai 18,2022 ameweza kutambulishwa kuwa ni mali ya Klabu ya Singida Big Stars. Beki huyo msimu wa 2021/22 alikuwa anakipiga ndani ya mabingwa wa ligi ambao ni Yanga. Ni dili la miaka miwili ameweza kusaini kuweza kupata changamoto mpya katika timu mpya ambayo atakuwa anacheza kwa msimu ujao. Kwa mujibu wa Ofisa…
UONGOZI wa Simba umesema sababu ya kumuongeza mkataba Mzamiru Yassin ni uwezo wake jambo ambalo limewafanya waweze kukaa naye mezani na kumpa dili jipya. Mzawa huyo mwenye uwezo wa kupanda na kushuka alikuwa na nafasi kikosi cha kwanza msimu wa 2021/22 kwenye mechi za ligi na zile za kimataifa. Ni dili la miaka miwili ameongeza…
BEKI wa Liverpool,Andy Robertson ameweka wazi kuwa ingizo jipya ndani ya kikosi hicho Darwin Nunez utaleta mabadiliko kutokana na uwezo wake. Ni pauni milioni 85 zimetumika na Liverpool kuipata saini ya Nunez mwenye miaka 23 ambaye ametoka Klabu ya Benfica,mwezi uliopita. Nyota huyo alishindwa kuonyesha makeke kwenye mchezo wake wa kwanza wa kirafiki wakati timu…
KLABU ya Simba ipo kwenye wakati mgumu kuhakikisha inamalizana na straika wa Vipers, Cesar Manzoki ambaye mkataba wake umebaki miezi miwili, huku miamba ya Uganda ikigoma kumuachia ikidai shilingi milioni 100. Manzoki ni miongoni mwa wachezaji ambao walitarajiwa kuungana na kikosi cha Simba kilichoweka kambi nchini Misri kujiandaa na msimu ujao wa 2022/23, lakini hadi…
UONGOZI wa Azam FC, umeweka wazi kuwa usajili ambao wameufanya kwa ajili ya msimu mpya wa 2022/23 umezingatia mapendekezo ya benchi la ufundi kwa asilimia kubwa. Tayari Azam FC imewatambulisha mastaa 8 ikiwa ni pamoja na Cleophance Mkandala kutoka Dodoma Jiji,Isah Ndala kutoka Plateau United,Tape Edinho kutoka ES Bafing,Kipre Junior kutoka Sol FC. Pia yupo…
BAADA ya kukamilisha utambulisho wa kiungo wa Yanga, Aziz KI uongozi wa Yanga umetaja sababu ya kumsajili kiungo huyo kuwa ni uwezo wake. Inaelezwa kuwa usajili wa kiungo huyo aliyekuwa anakipiga ndani ya ASEC Mimosas umewatoa Yanga milioni 700 akiwa amepewa kandarasi ya miaka miwili kuwatumikia mabingwa mara 28 wa Ligi Kuu Bara. Ofisa Habari…
WAKIWA nchini Misri Simba walicheza mchezo wa kirafiki na kutoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 dhidi ya Ismaily ambayo inacheza Ligi Kuu ya Misri,Okra ameweka wazi kuwa anajukumu la kufanya kazi kubwa kwa msimu ujao kwa ajili ya mashabiki wao.
MABOSI wa Yanga wamempa mkataba mgumu wa mwaka mmoja wenye masharti beki wake wa kati, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ hiyo ikiwa ni siku chache tangu beki huyo atambulishwe kuendelea kubakia kuichezea timu hiyo. Awali, beki huyo alikuwa katika mipango ya kuachwa pamoja na baadhi ya wachezaji akiwemo Yassin Mustapha, Deus Kaseke na Paul Godfrey ‘Boxer’. Taarifa…
RAIS wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said amewakabidhi kadi za uanachama kwa Wasanii Faustina Mfinanga wanamjua kwa jina la Nandy na William Lyimo wengi wanauita Nenga. Wawili hao kwa sasa ni mwili mmoja baada ya kukamilisha kufunga pingu za maisha wikiendi hii. Mbali na kadi hizo pia Injinia Hersi aliwakabidhi fedha Tsh Mil 5,ikiwa…
SIMBA yafunga usajili na mashine hizi tatu,Aziz KI,Morrison waipa jeuri Yanga Caf ndani ya Championi Jumatatu
YEYE ni mchezaji bora wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22 ambapo kasepa na tuzo tatu mazima msimu huu. Ni tuzo ya kiungo bora baada ya kuwashinda Feisal Salum na Salum Abouhakari,’Sure Boy’ ,mchezaji bora baada ya kuwashinda Henock Inonga wa Simba nan a Fiston Mayele wa Yanga. Ile tuzo yake ya tatu ni…
MTANZANIA Abdi Banda amepata changamoto mpya kwa ajili ya kuonyesha uwezo wake kwa msimu mpya wa 2022/23. Banda ambaye ni nyota wa zamani wa Baroka FC ya Afrika Kusini amesaini mkataba wa miaka 2 kuichezea timu ya Chippas United inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini. Kabla ya kujiunga na Chippas Banda aliwahi kukipiga pia Highland…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa suala la kambi kwa maandalizi ya msimu wa 2022/23 lipo mikononi mwa benchi la ufundi. Mpango wa awali wa Yanga kuweka kambi ilikuwa ni nchini Tunisia na imeelezwa kuwa mpango huo umewekwa kando kutokana na muda kutajwa kuwa mdogo. Pia habari zinaeleza kuwa kwa sasa wanatarajia kwenda kuweka kambi…
BARCELONA wamefikia hatua nzuri ya kuipata saini ya staa wa Bayern Munich, Robert Lewandowski kwa ajili ya kuwa naye kwenye kikosi hicho. Ni kandarasi ya miaka mitatu wamefikia makubaliano ya kumpa mkataba mshambuliaji huyo. Wakati wowote kuanzia sasa Klabu ya Barcelona watamtangaza rasmi Lewandowski. Nyota huyo alikuwa amesaliwa na kandarasi ya mwaka mmoja ndani ya…
FISTON Mayele mshambuliaji wa Yanga amebainisha kuwa msimu mpya wa 2022/23 hana mpango wa kuendelea na mtindo wa kutetema na badala yake anakuja na mtindo mpya wa kushangilia na atauzindua kwenye mchezo dhidi ya Simba ambao utakuwa ni wa Ngao ya Jamii
UPNGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa baada ya kufanya mazoezi kwa muda wa siku mbili wachezaji wengine ambao hawakujiunga na timu hiyo kambini nchini Misri wanatarajiwa kujiunga na timu hiyo. Wachezaji hao ni pamoja na Nassoro Kapama,Moses Phiri,Taddeo Lwanga na Peter Banda kwa mujibu wa Ahmed Ally,Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Simba.