
ISHU YA UWANJA YAMSHANGAZA KOCHA,KESHO STARS KAZINI
KOCHA wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Kim Poulsen amesikitishwa na kitendo cha Mamlaka za soka kuinyima ruhusa timu hiyo ya Taifa kupata nafasi ya kufanya mazoezi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Poulsen amebainisha kuwa anajisikia vibaya na anshindwa kuelewa dhana ya kuinyima timu ya taifa faida ya kufanya mazoezi na maandalizi ya…