
ARSENAL YAKOMAA NA JESUS MCHEZAJI WA MAN CITY
MAWAKALA wa Straika wa Manchester City, Gabriel Jesus wamesafiri mpaka nchini Uingereza kwa ajili ya kuhakikisha wanakamilisha dili la straika huyo ambaye anatajwa kutua ndani ya Arsenal kutokea Manchester City. Mabingwa hao wa Premier wanataka pauni milioni 50 kwa Jesus, huku wakitarajia kurejesha fedha hiyo ili kufidia matumizi yao kwa, Kalvin Phillips wa Leeds…