
DIRISHA LA USAJILI KUFUNGULIWA JULAI 1, 2022 …KUFUNGWA AGOSTI 31
Dirisha la usajili kwa Klabu za Ligi Kuu ya NBC, Championship, First League na Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite msimu wa 2022/2023 litafunguliwa Julai 1, 2022 na kufungwa Agosti 31, 2022. Katika kipindi hicho Klabu zinatakiwa kukamilisha usajili na uhamisho wa Kimataifa. Klabu zote zinapaswa kuzingatia muda huo wa usajili, hakutakuwa na muda…