
NYOTA MPYA YANGA AOMBA JEZI NAMBA 7
LAZAROUS Kambole mshambuliaji mpya ndani ya kikosi cha Yanga amesema kuwa anapenda kutumia jezi namba 7 kwa msimu mpya wa 2022/23. Raia huyo wa Zambia amesaini dili jipya ndani ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Alitambulishwa ndani ya kikosi hicho Juni 16,2022 ikiwa ni siku moja baada ya Yanga kutwaa ubingwa wa 28…