
MABEKI WA KAZI WAWILI KUPEWA MIKATABA YANGA
MABEKI wa kazi ndani ya Yanga, Djuma Shaban na Yannick Bangala wapo kwenye mazungumzo na mabosi wao ili kuweza kuongeza kandarasi kwa ajili ya kuendelea kutimiza majukumu ndani ya timu hiyo. Nyota hao wote wawili mwaka 2021 walisaini dili la miaka miwili kutumikia uzi wa Yanga na sasa dili lao limebakisha mwaka mmoja. Mabosi wa…