
TUCHEL ANAMTAKA LEWANDOWSKI
KOCHA Mkuu wa klabu ya Chelsea raia wa Ujerumani Thomas Tuchel ameisisitizia Bodi ya klabu hiyo kufanya kila liwezekanalo kuhakikisha inapata saini ya mshambuliaji hatari wa Bayern Munich na Timu ya Taifa ya Poland Robert Lewandowski. Tuchel anatamani Lewandowski achukue mikoba ya Romelu Lukaku ambaye anatazamiwa kujiunga na klabu yake ya zamani ya Inter Milan…