
NAMNA SIMBA ITAKAVYOMREJESHA LUIS
KLABU ya Simba, ipo kwenye wakati mzuri wa kumrudisha kikosini hapo kiungo mshambuliaji raia wa Msumbiji, Luís Jose Miquissone kutoka Al Ahly ya Misri. Hiyo ni baada ya Luis kuwa na wakati mgumu ndani ya Al Ahly tangu alipojiunga na timu hiyo Agosti 26, 2021 akisaini mkataba wa miaka minne akitokea Simba. Baada ya Al…