NG’OMBE WA MAYELE AWAIBUA SIMBA
MENEJA wa Habari na Mawasilino wa Simba SC Ahmed Ally amerusha kombora kwa watani zao wa jadi Yanga, baada ya mshambuliaji wao Fiston Mayele kukabidhiwa zawadi yake ya Ng’ombe. Mayele aliahidiwa zawadi hiyo baada ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar uliochezwa Uwanja wa Manungu, Turiani, Morogoro Februari 23. Ahmed Ally…