WAWAKILISHI WA TANZANIA KIMATAIFA WAPANIA KUSHINDA

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, amesema hakuna matokeo yoyote ambayo anayahitaji zaidi ya ushindi katika mchezo wa Kundi D dhidi ya RS Berkane. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa leo Jumapili kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, kuanzia majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Akizungumza na Spoti Xtra, Pablo alisema wanatarajia kuwa na…

Read More

SIMBA KUCHEZA KIBINGWA LEO KIMATAIFA

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ameweka wazi kuwa kuelekea mchezo wao wa leo Jumapili dhidi ya RS Berkane, benchi la ufundi la timu hiyo linafanya maandalizi makubwa kuhakikisha si tu kwamba kikosi chao kinaibuka na ushindi dhidi ya Berkane, lakini pia kinatoa burudani ya kibingwa. Simba wanatarajia kuvaana na Berkane leo Jumapili katika mchezo…

Read More

MAYELE ATAJWA KUWA MCHEZAJI MWENYE UWEZO NA KIUNGO WA ZAMBIA

KIUNGO wa Simba, Clautos Chama raia wa Zambia amesema anawahusudu sana baadhi ya wachezaji wa kigeni kutoka kwa watani wao wa jadi Yanga. Akizungumza kwenye mahojiano maalum, Chama amesema pia anawakubali pia wachezaji wenzie wakigeni kwenye timu ya Simba. “Nadhani nitawataja Pape Sakho, Peter Banda, Saido Ntibazonkiza, Aucho licha ya kuwa sijamtazama sana akiwa anacheza…

Read More

VIDEO:HAYA HAPA MAZOEZI YA MWISHO YA RS BERKANE

WAPINZANI wa Simba kimataifa RS Berkane ya Morocco walifanya mazoezi ya mwisho kwa ajili ya kuikabili Simba Uwanja wa Mkapa na miongoni mwa nyota ambao walikuwepo ni pamoja na Fiston Abdulazack na Tuisila Kisinda ambao waliwahi kucheza Klabu ya Yanga. Mchezo wa kwanza wa kundi uliochezwa nchini Morocco, Simba ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 hivyo…

Read More

MCHEZO WA HISANI YANGA WATOSHANA NGUVU NA WASOMALI

KWENYE mchezo wa Hisani uliochezwa Uwanja wa Azam Complex kati ya Yanga dhidi ya timu ya taifa ya Somalia timu hizo mbili zilitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1. Bao la Somalia lilifungwa na Zakaria na bao la Yanga lilifungwa na kiungo Chico Ushindi ambaye alifunga bao hilo akitumia krosi ya Djuma Shaban. Mchezo huo ulihudhuriwa…

Read More

RATIBA YA MZUNGUKO WA 18,LIGI KUU BARA

Mzunguko wa 18, ratiba ya Ligi Kuu Bara:- Mbeya City v Kagera Sugar, Machi 12, Uwanja wa Sokoine. Coastal Union v Ruvu Shooting, Uwanja wa Mkwakwani, Machi 12. Mtibwa Sugar v Geita Gold, Uwanja wa Manungu Machi 13. Dodoma Jiji v Mbeya Kwanza, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma Machi 13. Biashara United v Prisons, Machi 15,Uwanja…

Read More

YANGA YAKIRI KMC NI WAGUMU

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ameonyesha kuwa hataki kufanya mchezo katika suala la kushinda ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, hii ni baada ya kuwaambia mastaa wake kuhakikisha wanakuwa na mawazo ya pointi tatu tu, katika mchezo wao ujao dhidi ya KMC. Kuelekea mchezo huo dhidi ya KMC utakaochezwa Jumamosi ijayo, kikosi cha…

Read More

ABRAMOVICH APEWA RUKSA KUIWEKA SOKONI CHELSEA

ROMAN Abramovich na Serikali ya Uingereza imeripotiwa kwamba wamefikia makubaliano kwa ajili ya suala la mauzo ya timu ya Chelsea. Serikali inaelezwa kuwa inazingatia suala la timu hiyo kuwekwa sokoni ili kuweza kupata matokeo mazuri kwa ajili ya Chelsea. Kampuni ya Raine Group imeelezwa kuwa imepewa ruhusa ya kuendelea na mchakato wa kusaka mshindani ambaye…

Read More

NAMUNGO WAWEKA WAZI KWAMBA UBINGWA NI MALI YAO

KOCHA Msaidizi wa Namungo, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, amesema wao ndio watakaokuwa mabingwa mwisho wa msimu hata kama watu hawawapi nafasi. Julio amesema, kila mechi ambayo wanakwenda kuicheza kwa sasa itakuwa ni kama fainali, kwa sababu wanahitaji kupata alama tatu ambazo zitawafanya wawe mabingwa mwisho wa msimu. Namungo wanakamata nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi,…

Read More

PABLO: TUTACHEZA KIBINGWA KWA MKAPA

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ameweka wazi kuwa kuelekea mchezo wao wa Jumapili dhidi ya RS Berkane, benchi la ufundi la timu hiyo linafanya maandalizi makubwa kuhakikisha si tu kwamba kikosi chao kinaibuka na ushindi dhidi ya Berkane, lakini pia kinatoa burudani ya kibingwa. Simba wanatarajia kuvaana na Berkane keshokutwa Jumapili katika mchezo wao…

Read More