
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
WAKIWA kwenye maandalizi ya msimu wa 2022/23 washindi namba mbili kwenye Ligi Kuu Bara,Simba wameweka wazi kuwa wanatarajiwa kucheza mechi tatu za kirafiki. Kwenye msimamo Simba ilimaliza ikiwa nafasi ya pili na pointi 61 baada ya kucheza mechi 30 za ligi. Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally amesema…
WACHEZAJI wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wameanza maandalizi kwa ajili ya michezo ya kufuzu CHAN 2023. Stars inayonolewa na Kocha Mkuu,Kim Poulsen inatarajiwa kucheza mechi mbili ndani ya mwezi huu wa Julai kuwania kufuzu CHAN. Itakuwa mchezo dhidi ya Somalia ambapo ule wa awali unatarajiwa kuchezwa Julai 23 na ule wa pili unatarajiwa…
IKIWA ni takribani wiki tatu zimesalia kuelekea NBC Dodoma International Marathon itakayofanyika siku ya Jumapili Julai 31, wanariadha wameendelea kujifua ili kushiriki mbio hizo za kimataifa. Leo tumeshuhudia klabu za wanariadha ya Kigamboni runners ikishirikiana na klabu ya wanariadha ya NBC Jogging club ambao wamefanya mazoezi ya pamoja kwa kukimbia kilomita 10 na kilomita 5…
COASTAL Union wameanza na kuongeza nguvu kwenye ulinzi baada ya Julai 14,2022 kukamilisha usajili wa mlinda mlango namba mbili wa timu ya Taifa ya Comoro, Mahamoud Mroivili. Unakuwa ni usajili wa kwanza ndani ya Coastal Union inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda. Kipa huyo amepewa dili la miaka miwili kuweza kuitumikia timu hiyo kwa ajili…
MASTAA wa Simba wameanza mazoezi nchini Misri ambapo wameweka kambi kwa ajili ya msimu mpya wa 2022/23 wakiwa chini ya Kocha Mkuu,Zoran Maki
BAADA ya mabosi wa Yanga kumpa mkono wa kwa kheri nyota wao Deus Kaseke Julai 14 inaelezwa kuwa nyota huyo yupo kwenye mazungumzo na Singida Big Stars ili aweze kuwa ndani ya timu hiyo kwa msimu ujao wa 2022/23. Taarifa rasmi iliyotolewa na Yanga iliweka wazi kwamba; “Umekuwa sehemu kubwa ya mchango wa mafanikio kwenye…
WASHINDI wa pili ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba tayari wameanza mazoezi nchini Misri ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya msimu mpya wa 2022/23. Simba chini ya Kocha Mkuu, Zoran Maki ilifanikiwa kuwasili nchini Misri salama baada ya kusepa Bongo Julai 14,2022 mchana. Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano ndani…
WAKATI timu mbalimbali za Ligi Kuu Tanzania Bara zikiwa zinafanya usajili wa wachezaji wao mbalimbali kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao kuna mambo ngoja tuwakumbushe. Kwanza kabisa ni kuhusu usajili ambao unaedelea kwa sasa lakini pia ni katika maandalizi yao mzuri kuelekea katika michuano ya kimataifa. Kwa msimu ujao Yanga,Simba,Azam FC na Geita Gold…
KULIA unapigwa,kushoto unapigwa ndani ya Championi Jumamosi
Book of Egypt Kutoka Expanse, Mchezo Mpya Kabisa kwenye orodha ya michezo ya Book, umewasili kwa ajili yako! Bila shaka unapenda kufuradhia mandhari ang’avu, na mziki mwanana wakati ukiwa windoni kupata chochote. Wapenzi wa kasino ya mtandaoni, hiki ni kitu kingine kikubwa kwao, Mchezo bomba kabisa wa Book of Egypt kutoka Expanse Studio! Wewe ni…
AZAM FC wamemtambulisha kiungo kiraka ambaye anaweza kucheza nafasi zaidi ya moja uwanjani ambapo atakuwa kwenye kikosi kitakachoweka kambi Misri kwa maandalizi ya msimu wa 2022/23 nchini Misri kwa kandarasi ya miaka miwili.
KIUNGO mpya wa Yanga, Bernard Morrison amesema kuwa mashabiki wasiwe na mashaka msimu mpya utakuwa ni mzuri kwao na watapambana kufanya vizuri. BM amerejea ndani ya Yanga kwa kupewa dili la miaka miwili baada ya dili lake ndani ya Simba kugota ukingoni. Nyota huyo amewaambia mashabiki wa Yanga kuwa aliwakosea wakati ule alipokuwa ndani ya…
WASHINDI namba mbili kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara,Simba wameweza kufika salama nchini Misri baada ya safari yao kuanza jana Julai 14,2022. Msafara huo umeweka kambi nchini Misri ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2021/22 Simba ilikwama kusepa na taji lolote na kuwafanya watani zao wa jadi kuweza…
YANGA imemalizana na beki wa kazi Lomalisa ambaye atakuwa kwenye kikosi hicho kwa msimu wa 2022/23 beki huyo ameweka bayana mipango yake
KLABU ya Geita Gold imethibitisha kuwa imeruhusiwa kufanya usajili na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) baada ya kukidhi vigezo kwa kumalizana na kocha Etienne Ndayiragije aliyekuwa anaidai. Juni 25, mwaka huu FIFA iliifungia timu hiyo kusajili hadi itakapomlipa aliyekuwa Kocha wake, Ettiene Ndayiragije ambaye alifungua madai akidai fidia ya kuvunjiwa mkataba na malipo mengine…
MO aingilia usajili Simba afanya kweli ashusha majembe ya maana ndani ya kikosi hicho ambacho kimeweka kambi Misri