
MGHANA ASAINI AZAM FC MIAKA MIWILI
RASMI Mghana James Akaminko, aliyekuwa anakipiga ndani ya Klabu ya Great Olympic ni mali ya Azam FC. Akaminko mwenye miaka 26 ni mmoja wa viungo wabunifu kwenye Ligi Kuu ya Ghana amesaini dili la miaka miwili. Kiungo huyo nyota, aliwahi kucheza soka la kulipwa nchini Tunisia katika timu ya US Tataouine, amepita pia kwa vigogo…