
IHEFU KUIKABILI NAMUNGO LEO UWANJA WA UHURU
BAADA ya kupoteza mchezo wao wa kwanza dhidi ya Ruvu Shooting msimu wa 2022/23 kwa kufungwa bao 1-0, Agosti 19,2022 Ihefu ina kazi ya kusaka ushindi mbele ya Namungo FC, Uwanja wa Uhuru. saa 10:00 jioni. Ihefu inanolewa na Kocha Mkuu Zuber Katwila ambaye aliibuka hapo baada ya kubwaga manyanga ndani ya Mtibwa Sugar leo…