
MBOMBO AFUNGUA UKURASA WA MABAO WAKIICHAPA MBEYA CITY
AZAM FC imefikisha pointi 8 kibindoni na kuwa nafasi ya pili kwenye msimamo baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City. Ni bao la Idris Mbombo ambaye alipachika dakika ya 60 kwenye mchezo huo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Sokoine. Ni bao la kwanza kwa Mbombo msimu wa 2022/23 ambaye alikamilisha msimu wa…