
VIDEO:JIKUMBUSHE KOCHA MTIBWA SUGAR ALIVYOKUBALI KWA YANGA
AWADH Juma, Kocha Msaidizi wa Mtibwa Sugar ameweka wazi kuwa walistahili kupoteza mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga kwa kuwa Yanga walistahili kushinda baada ya ubao kusoma Yanga 3-0 Mtibwa Sugar