Home Sports MAPUMZIKO: PRISONS 0-0 SIMBA, UWANJA WA SOKOINE

MAPUMZIKO: PRISONS 0-0 SIMBA, UWANJA WA SOKOINE

UWANJA wa Sokoine dakika 45 zimekamilika kwa timu zote kukamilisha bila kupata bao la uongoza.

Ubao unasoma Tanzania Prisons 0-0 Simba huku kila timu zikitengeneza mashambulizi kwa kushtukiza.

Ni Ezekiel Mwashilindi ni mwiba kwa Simba kutokana na kutibua mipango huku beki Henock Inonga akiwa na kazi ya kuongoza safu ya ulinzi akishirikiana na Kenned Juma.

Moses Phiri ambaye ni mshambuliaji wa Simba amekwama kupata bao la kuongoza licha ya nafasi anazozipata kutokana na uimara wa Haule, kipa wa Prisons.

Previous articleKIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA PRISONS
Next articleMAYELE MTAMBO WA MABAO YANGA