
ONYANGO NDANI YA SIMBA, KAZI INAANZA MBEYA
BEKI wa kati wa Simba, Joash Onyango ni miongoni mwa nyota wa kikosi hicho ambao wamewasili salama Mbeya, kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons unaotarajiwa kuchezwa kesho, Septemba 14, Uwanja wa Sokoine Mbeya. Wengine ni pamoja na Aishi Manula ambaye leo ni kumbukizi yake ya kuletwa duniani, Clatous Chama,…