
MALINDI YAWAIBUA KAPAMA NA BANDA, KESHO KAZI NYINGINE
PETER Banda na Nassoro Kapama wameibuliwa na Malindi FC kwenye mchezo wao wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Kwenye mchezo huo uliochezwa juzi, ubao ulisoma Malindi0-1 Simba huku bao la ushindi likifungwa na Nassoro Kapama dakika ya 13. Bao hilo ni la kwanza kwa Kapama ambaye ameibuka ndani ya Simba akitokea Kagera Sugar na…