PANGA LINAPITA YANGA, AZIZ KI, LOMALISA, MKUDE KUSEPA? ISHU IPO HIVI
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara Yanga wapo kwenye hesabu za kukamilisha usajili wa wachezaji waliopo kwenye timu hiyo ambao mikataba yao inagota mwisho na wapo wachezaji ambao wataondoka kutokana na kupata ofa na wengine kushindwa kuwa kwenye ubora wao.
KIBU DENNIS KIUNGO WA KAZI AIGOMEA STARS
KIUNGO wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda Kibu Denis amekataa kujiunga na kikosi cha timu ya taifa akidai anakwenda mapumziko nchini Marekani. Taarifa za uhakika zinasema baada ya kuchaguliwa katika kikosi cha timu ya taifa kinachojiandaa na mechi dhidi ya Zambia kwa kuweka kambi ya siku 7 nchini Indonesia, Kibu alikaa…
MFALME WA PASI ZA MWISHO BONGO HUYU HAPA
UTAWALA mpya umesimikwa ndani ya Ligi Kuu Bara huku Klabu ya Azam FC ikiwa ni miongoni mwa timu ambazo zimefanya kweli kweye ushindani. Wakati wakiwa na mchezaji namba mbili kwenye chati ya ufungaji ambaye ni Feisal Salum akiwa katupia mabao 19 na pasi saba za mabao kuna mwamba anaongoza kwa pasi za mwisho. Ipo wazi…
ZIMBWE JUNIOR: HATUJAFIKIA MALENGO
NAHODHA msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein Zimbwe Junior ameweka wazi kuwa hawajafikia malengo yao ndani ya msimu wa 2023/24 kwenye Ligi Kuu Bara. Ipo wazi kwamba Simba imepishana na mataji yote muhimu kuanzia Ligi Kuu Bara, CRDB Federation cUP na Ligi ya Mabingwa Afrika. Itashiriki Kombe la Shirikisho msimu wa 2024/25 baada ya kumaliza ligi…
AZAM FC NA HESABU ZAO
YUSUPH Dabo, Kocha Mkuu wa Azam FC ameweka wazi kuwa msimu wa 2023/24 ulikuwa na ushindani mkubwa na kila mchezaji alikuwa akitimiza majukumu yake. Ni wazi kuwa Azam FC inaungana na Yanga kupeperusha bendera ya Tanzania Ligi ya Mabingwa Afrika. Ni nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ambapo ilimaliza ikiwa na pointi 69 baada…
FEI TOTO AFUNGUKIA TUZO YA AZIZ KI
MFUNGAJI namba moja kwa wazawa Feisal Salum anayetimiza majukumu yake ndani ya Azam FC amempa pongezi mfungaji bora wa ligi msimu wa 2023/24 ndani ya ligi. Ikumbukwe kwamba vita ya kiatu cha ufungaji bora ilikuwa kali kati ya Fei aliyemaliza msimu akiwa na mabao 19 huku Aziz KI akitupia jumla ya mabao 21. Nyota hao…
AZIZ KI, JOYCE LOMALISA, MKUDE WANASEPA YANGA? ISHU IPO HIVI
KAZI imeanza ambapo kuna nyota ndani ya kikosi cha Yanga wanatajwa kuwa kwenye hesabu za kuongezewa kandarasi mpya na wengine kukutana na THANK YOU kwa ajili ya kwenda kupata changamoto mpya.
SIMBA: HII IMEISHA, MIPANGO INAANZA
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa msimu wa 2023/24 umegota mwisho hivyo ni hesabu kwa ajili ya msimu mpya 2024/25. Kete ya mwisho ya funga msimu ilikuwa ni Mei 28 2024 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 2-0 JKT Tanzania. Hivyo Simba imekomba pointi sita mazima mbele ya…
ISOME AZIZ KI HAKIKISHA
MABAO 21 kibindoni mwamba Aziz KI kakamikisha akiwa ni mfungaji bora msimu wa 2023/24 ambao umegota mwisho leo Mei 28 2024. Kwenye tuzo ya ufungaji bora hakikisha jina linasoma Aziz KI kwa kuwa amefanya kazi yake kwa ushirikiano mkubwa na wachezaji wengine ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Ushindi wa mabao 4-1 waliopata Yanga mbele ya Tanzania Prisons umewapa pointi…
FUNGA KAZI 2023/24, MATOKEO HAYA HAPA
MWISHO wa ubishi imefahamika nani atakuwa nani kwenye kila idara ambapo Yanga mabingwa wa ligi na wanaye mfungaji bora ambaye ni Aziz KI akiwa katupia mabao 21 msimu wa 2023/24. Simba ngoma imegota mwisho ikiwa nafasi ya tatu huku Geita Gold na Mtibwa Sugar hizi zimeshuka daraja mazima. Matokeo ya mechi zote ambazo zilikuwa live…
YANGA 2-1 TANZANIA PRISONS, AZIZ KI KAWAKA
UWANJA wa Azam Complex Yanga 2-1 Tanzania Prisons Goal kwa Prisons Benno dakika ya 4 Mabao kwa Yanga ni Aziz KI dakika ya 9 na 11 FUNGA kazi msimu wa 2023/24 ni leo ambapo timu zipo kazini kusaka pointi tatu. Yanga ipo Uwanja wa Azam Complex, Simba Uwanja wa Mkapa inapambana na JKT Tanzania. Azam…
MTU WA KAZI ANASEPA YANGA
HUENDA mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons utakuwa ni wa mwisho kwa Joyce Lomalisa kuwa na uzi wa njano na kijani. Kwenye mchezo uliopita dhidi ya Tabora United nyota huyo alitoq pasi moja ya bao kwa Aziz KI dakika ya 90 akiwa nje ya 18. Yanga ambao ni mabingwa wa ligi msimu…
ONYO LATOLEWA KWA ATAKAYEMSAJILI KIBU DENNIS
BOSI wa Simba, kwenye idara ya Habari na Mawasiliano Ahmed Ally ameweka wazi kuwa timu ambayo itamsajili mchezaji wao Kibu Dennis itafilisiwa kwa kuwa bado mchezaji huyo ana mkataba na timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda.
Zaidi ya TZS Milioni 400 Kutolewa na Shindano la Expanse
Promosheni ya kuvuna mahela ya Meridianbet bado inaendelea kusaka washindi, Tsh 400,000,000/= zinakusubiri wewe, huenda unajichelewesha mwenyewe kuwa tajiri. Jisajili Meridianbet kisha shiriki kwenye shindano la kutafuta washindi kupitia michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma Expanse. Wakati unaposhiriki shindano hili hakikisha tu unakuwa umejiandaa kutwaa ubingwa, mafanikio huanza na nia, katika safari…
CHEZA SHINDANO LA EXPANSE TOURNAMENT NA USHINDE MAOKOTO MERIDIANBET KASINO
Umetembelea Meridianbet Kasino ya Mtandaoni leo? Nakushauri tu ufanye kuingia kwani utafurahi mwenyewe na moyo wako, Promosheni ya Shindano la Expanse bado linaendelea huenda leo ni nafasi yako ya kushinda. Jisajili hapa ushinde bonasi za kasino kibao. Promosheni hii ya Expanse Tournament inatoa mgao wa mamilioni ya kutosha, kuna bonasi za kasino, mizunguko ya bure…
MWAMBA MZAMIRU KIMEELEWEKA
INAELEZWA kuwa kiungo wa kazi ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda kimeeleweka baada ya kufikia makubaliano ya kuongeza mkataba wa miaka miwili. Habari zinaeleza kuwa uongozi wa Simba umeamua kufanya naye mazungumzo mapema kabla mambo hayajawa mengi kwa kuwa kuna timu ambazo zinahitaji saini ya kiungo huyo. Mzamiru ni chaguo…