HAWA HAPA SIMBA KWENYE ORODHA YA WANAOSEPA/ WENGINE WAMEAGA
KAZI imeanza baada ya msimu wa 2023/24 kugota mwisho kuna mastaa ndani ya Simba wanasepa huku wengine wakianza kuaga wakiongozwa na nahodha John Bocco mshambuliaji bora wa muda wote.
KAZI imeanza baada ya msimu wa 2023/24 kugota mwisho kuna mastaa ndani ya Simba wanasepa huku wengine wakianza kuaga wakiongozwa na nahodha John Bocco mshambuliaji bora wa muda wote.
BAADA ya msimu wa 2023/24 kugota mwisho timu zipo kwenye kusoma ripoti na kuangalia kipi ambacho watakifanya kuboresha timu zao kwa msimu wa 2024/25 ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Tayari Azam FC wameanza kazi kwa kutambulisha nyota wapya ambao watakuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2024/25 ambapo Azam FC na Yanga zitakuwa…
Unaambiwa huko Meridianbet Bosi hataki mchezo, ile Promosheni ya shindano la Expanse si unaijua? Basi Pesa zimeongezeka kwa washindi na sasa dau limefikia Tsh Milioni Nne, Laki Saba na Elfu Hamsini. (4,750,000/=). Ili kushiriki kwenye shindano hili la kasino ya mtandaoni, Jisajili hapa. Shindano la Expanse ndani ya Meridianbet litatoa zawadi na bonasi za kasino…
UONGOZI wa Azam FC umekubali kumuachia kiungo wake mshambuliaji, Feisal Salum kwenda katika klabu itakayomuhitaji katika msimu ujao kwa dau la Sh 5Bil. Kiungo huyo anatajwa katika usajili wa Simba ambayo imepanga kufumua kikosi chao na kukiimarisha ili kirejeshe makali yake msimu ujao. Simba ndani ya misimu mitatu mfululizo imeshindwa kubeba ubingwa wa Ligi Kuu…
Msimu wa mashindano ya CAF Interclub 2024/25 utaanza kwa raundi ya awali kati ya tarehe 16 Agosti hadi 18 Agosti, 2024 huku hatua za makundi zikipangwa kufanyika kati ya mwezi Oktoba hadi mwezi Desemba mwaka 2024. Klabu ya Yanga itaanza kampeni zake za Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye raundi ya pili michuano hiyo na wataanzia…
Mabingwa wa ubashiri Tanzania, Meridianbet inakwambia kuwa usiwaze kutafuta chimbo la kusuka jamvi lako leo hii. Mechi kibao za pesa zinachezwa kuanzia kule Brazil mpaka Argentina. Unasubiri nini? Ingia na usuke jamvi lako sasa. Argentine Liga Profesional kuendelea kwa michezo kadhaa saa 3:00 usiku Barracas Central atakuwa nyumbani kusaka pointi tatu dhidi ya CA Huracan…
Baada ya kuachana rasmi na Klabu ya Paris Saint-Germain akiwa mchezaji huru, Kylian Mbappe (25) amejiunga na kikosi cha Real Madrid baada ya kusaini Mkataba wa Miaka Mitano Real Madrid imethibitisha kumsaini Mbappe ikiwa ni siku chache baada timu hiyo kutwaa Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) kwa kuichapa Borussia Dortmund kwa…
KATIKA mechi 7 ambazo ni dakika 630 Koch Mkuu wa Simba Juma Mgunda alikomba jumla ya pointi 19 ndani ya uwanja. Ni ushindi katika mechi sita na aliambulia sare moja ugenini ilikuwa Uwanja wa Kaitaba alipokomba pointi moja. Mechi zake ilikuwa ni Simba 2-0 Mtibwa Sugar, Simba 2-0 Tabora United, Azam FC 0-3 Simba, Simba…
YANGA kwa mara nyingine tena chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi wamesepa na taji la CRDB Federation Cup mbele ya Azam FC iliyokuwa ikipambania kutwaa taji hilo mbele ya mabingwa hao wa ligi.
INGIZO jipya ndani ya Real Madrid, Kylian Mbappe ambaye ameletwa duniani Desemba 20 1998 amebainisha kuwa ndoto yake imetimia. Kwa muda mrefu tetesi zilikuwa zinaeleza kuwa mwamba huyo ambaye ana rekodi ya kufunga hat trick katika fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Argentina alikuwa kwenye rada za Real Madrid. Hatimaye dili limejibu kwa nahodha…
Huu hapa tena mchezo wa kasino ya mtandaoni unaovutia sana ambapo buibui na wachawi wanatawala kwenye mchezo huu. Alama hizi unatakiwa kuzipata kwa wingi ili kujipatia ushindi mkubwa. Jisajili na Meridianbet uwe Milionea kupitia mchezo huu. The Magic Web ni kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet. Katika mchezo huu kadi za mwitu/Pori huleta mshangao mkubwa na…
KITASA wa kazi ndani ya Yanga ambaye ni beki chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miguel Gamondi amebainisha kuwa haikuwa rahisi kwenye mchezo wa fainali ya CRDB Federation Cup. Ni Ibrahim Abdullah ‘Bacca’ ambaye baada ya mchezo kukamilika alichaguliwa kuwa Mchezaji Bora mechi ya fainali hiyo iliyochezwa Uwanja wa New Amaan Complex. Kazi kubwa aliyofanya…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ni huzuni kubwa imetawala kwa wakati huu kutokana na kushindwa kufikia malengo yao kwa asilimia kubwa msimu wa 2023/24. Ipo wazi kuwa ni namba tatu imegotea kwenye ligi ikiwa na pointi 69 tofauti ya mabao ya kufungwa na kufunga dhidi ya Azam FC iliyomaliza ikiwa nafasi ya pili kwenye…
MIGUEL Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa ukomavu wa wachezaji wake kwa kukubali matokeo kwenye mchezo huo yaliwapa nguvu ya kuendelea kupambana mpaka mwisho wa mchezo. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa wa CRDB Federation Cup wakipeta mbele ya Azam FC matajiri wa Dar ambao walikuwa kwenye nafasi nzuri ya kutwaa taji hilo…
HAWA hapa wawakilishi wa Tanzania kwenye anga la kimataifa, Yanga na Azam FC ni kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba na Coastal Union kwenye Kombe la Shirikisho Afrika.
Bado una nafasi ya kuendelea kuwa mshindi na kupiga mtonyo mrefu, kwa kushiriki promosheni ya Expanse ndani ya Meridianbet Kasino ya Mtandaoni. Ili upate mgao wako wa Mamilioni ni lazima uwe umejisajili Meridianbet, kisha ucheze michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni kutoka Expanse Studios. Kwenye Promosheni hii zawadi zinazotolewa ni nyingi, lakini washindi 40…
BONDIA Mtanzania, Hassan Mwakinyo amewaomba radhi mashabiki wake kwa sintofahamu iliyojitokeza usiku wa Ijumaa ya Mei 31, katika ukumbi wa Warehouse Masaki ambako alitarajiwa kupigana na Mghana, Patrick Allotey na jambo hilo kushindikana dakika za mwisho za usiku ule. Kutokana na sintofahamu hiyo, Mwakinyo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, amesema hakuna shida yoyote…