AZAM FC: TUPO KAMILI GADO
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa upo kamili gado utapambana kufanya vizuri kitaifa na kimataifa msimu wa 2024/25 ndani ya uwanja kwa kufanya maandalizi mazuri. Timu hiyo inanolewa na Kocha Mkuu, Yusuph Dabo imemaliza ligi ikiwa nafasi ya pili na pointi 69 sawa na Simba iliyo nafasi ya tatu baada ya ushindani mkubwa kwa…