
GUADIOLA:TUMESHINDA LAKINI WATU WANAIPENDA LIVERPOOL
PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City amesema kuwa amepata pointi tatu lakini anaamini kwamba watu wengi hawapendi. Manchester City iliwatungua mabao 5-0 Newcastel United kwenye mchezo wa Ligi Kuu Engand uliochezwa Uwanja wa City Of Manchester. Raheem Sterling alifunga mabao mawili ilikuwa dk 19,90+3,Aymeric Laporte alitupia dk ya 38,Rodri dk 61 na Phil Foden…