
UHISPANIA, URENO NA MOROCCO WATHIBITISHWA KUWA WENYEJI KOMBE LA DUNIA 2030
Shirikisho la soka Duniani (FIFA) limethibitisha kuipatia Saudi Arabia haki za kuwa nchi mwenyeji wa Kombe la Dunia la FIFA la 2034 huku Uhispania, Ureno na Morocco wakithibitishwa kuwa wenyeji wenza wa kombe la Dunia la mwaka 2030 Uamuzi huo umetolewa wakati wa mkutano wa FIFA leo huku mashindano hayo yakitarajiwa kufanyika wakati wa miezi…