
BODI YA LIGI YATANGAZA KUAHIRISHA MCHEZO WA DERBY YA KARIAKOO
Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kupitia Kamati yake ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imetangaza kuahirisha mchezo wa Derby ya Kariakoo kati ya wenyeji, Yanga Sc dhidi ya Simba Sc uliopangwa kuchezwa leo Machi 8, 2025 majira ya saa 1:15 usiku katika dimba la Benjamin Mkapa. Taarifa ya leo Machi 8, 2025…