JEMBE AMECHAGULIWA KWA MARA NYINGINE TENA NA FIFA
MWANDISHI mkongwe na maarufu wa michezo nchini, Saleh Ally maarufu kama Saleh Jembe, kwa mara nyingine tena ameandika rekodi nyingine chini ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa). Fifa imemteua Saleh Jembe kwa mara ya tano mfululizo kupiga kura ya Mchezaji Bora wa Dunia ikiwa ni rekodi kubwa kuandikwa kwenye historia ya soka. Fifa huchagua…