
YANGA YAPIGA HESABU KUENDELEZA USHINDI, KITUO KINACHOFUATA KIMATAIFA
DUKE Abuya, nyota wa mchezo mbele ya Namungo ameweka wazi kuwa wanaamini wataendelea kushinda mechi zijazo za ushindani. Ikumbukwe kwamba mchezo wa funga kazi Novemba kwa Yanga ilikuwa dhidi ya Namungo, Novemba 30 2024 baada ya dakika 90 ubao ukasoma Namungo 0-2 Yanga. Ushindi huo ni wa kwanza kwa Kocha Mkuu, Sead Ramovic mrithi wa…