
MAN CITY YAENDELEA KUANDAMWA NA MAUZAUZA KAMA YANGA
Mauzauza yameendelea kuiandama Manchester City baada ya kushindwa kuulinda uongozi wa 3-0 na kusawazishiwa 3-3 dhidi ya Feyenoord ya Uholanzi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya huku ikishindwa kupata ushindi kwenye mechi ya 6 mfululizo kwenye michuano yote. Kwenye michezo mingine Arsenal imeilaza Sporting Lisbon jumla ya magoli 5-1, wakati Barcelona ikiilaza Brest magoli…